Categories
Habari Kimataifa

Safu mpya: Marudio ya wiki nzima ya habari mbalimbali zakimataifa zinazokujia kwa alama ya reli #HabariNiMuhimuKulikoUbuyu

Categories
Habari Kimataifa Siasa

Mama @SuluhuSamia asema katika baadhi ya maeneo, amefanya vema zaidi kuliko marais wanaume, aeleza changamoto alizokumbana nazo kama Mtanzania wa kwanza mwanamke kuwa Rais Tanzania.

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwamba katika baadhi ya maeneo, amefanya kazi vizuri zaidi kuliko marais wanaume waliomtangulia. Ameeleza kuwa katika siku za awali za urais wake alikumbana na changamoto kutokana na kuwa mwanamke, lakini alimudu kuzishinda changamoto hizo. Rais Samia aliongea hayo nchini Ghana, ambako anahudhuria mkutano wa kila mwaka unaoandaliwa na Benki ya […]

Categories
Habari Kimataifa Maisha Siasa

#TIME100: Mama @SuluhuSamia atajwa katika orodha ya mwaka huu ya jarida la kimataifa la TIME ya watu 100 wenye ushawishi mkubwa duniani

Kwanini Mama Samia amestahili kuwemo kwenye orodha hiyo? Anaeleza Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf Rais Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani Machi 2021, na uongozi wake umekuwa wa kusisimua. Mwaka huo umeleta mabadiliko makubwa kwa Tanzania. Mlango umefunguliwa kwa mazungumzo kati ya wapinzani wa kisiasa, hatua zimechukuliwa ili kujenga upya imani katika mfumo […]

Categories
Habari Kimataifa Siasa

Video: Mama @SuluhuSamia na Makamu wa Rais wa Marekani @KamalaHarris wakifanya mkutano wa pamoja na waandishi wa habari

Press conference ya Mama Samia Suluhu na Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris leo huko Marekani

Categories
Kimataifa

Kura za Maoni Uchaguzi Mkuu Kenya 2022: Raila 33%, Ruto 32%, “Undecided” 21%

Categories
Habari Kimataifa

Umoja wa Ulaya: Mbunge David McAlister Ataka Kesi ya Mbowe Ifutwe, Mtendaji wa Umoja Huo, Rita Laranjinha, Amtetea Mama @SuluhuSamia, Akidai Ameleta Mageuzi Makubwa

Categories
Habari Kimataifa

Mtanzania Humprey Magwira, 20, Auawa kwa Risasi Houston, Marekani baada Ya Kusababisha Ajali Ndogo

Mtanzania Humphrey Maghwira ameuawa kwa kupigwa risasi huko Houston, jimbo la Texas, bchini Marekani baada ya kusababisha ajali ndogo, Ijumaa iliyopita. Humprey mwenye umri wa miaka 20 alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili katika fani ya uhandisi wa kompyuta, katika chuo kikuu cha Houston. Marehemu aliyehamia Marekani akiwa na umri wa miaka 11, alifariki baada […]

Categories
Habari Kimataifa Maisha

Mkenya Agundua Mashine Ya Kupika Ugali Kwa Dakika 3 Tu

Ugali ni chakula kinacholiwa sana barani Afrika. Huenda kikawa ndio chakula chenye umaarufu mkubwa Afrika, kikitokana na nafaka hasa ya mahindi. Ubugali ( Burundi, DR Congo, Sudan, Sudan Kusini, Rwanda), moteke (RDC) na busima (Uganda), ni sehemu ya majina maarufu ya ugali katika ukanda wa afrika Mashariki ambao kawaida hupikwa kwa kutumia mwiko. Lakini Video […]

Categories
Habari Kimataifa Siasa

‘Naibu Waziri’ Wa Masuala Ya Siasa Wa Marekani,Victoria Nuland Aja Tanzania, Kukutana Na Mama Samia, Wapinzani

Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri ” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani. CHANZO

Categories
Habari Kimataifa

Waziri Mkuu Wa Eswatini Afariki Kwa Korona

Waziri Mkuu wa ufalme wa Eswatini, Ambrose Dlamini, amefariki dunia baada ya kuugua korona kwa wiki 4.